Naibu
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi
Ramadhan......
Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza
Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya
jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika
operesheni hizo za ulinzi wa amani..jpg?width=650)
Sehemu
ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa,
wakifuatilia majadiliano ya ajenda kuhusu Operesheni za Ulinzi wa Amani
za Umoja wa Mataifa.
No comments:
Post a Comment