Henry Wandela (kushoto) na Thomasa Mashali wakionyeshana ubabe...
Wadau wa mchezo wa ngumi wakiwa katika pozi.
BONDIA wa Tanzania, Thomas Mashali na Mkenya Henry Wandela, leo wamefanya maandalizi kwa ajili ya mpambano huo.
Pambano hilo la uzito wa kilo 72, linatarajiwa kupigwa kwenye Ukumbi
wa Friends Corner, likiwa ni la raundi nane ambalo limeandaliwa kwa
ajili ya kuboresha viwango vya mabondia hao.
Kabla ya kuanza kwa pambano hilo kutakuwa na mapambano mengine ya
utangulizi kwa mabondia chipukizi ambapo Shabani Kaoneka atazichapa na
Ramadhan Halfani, naye Fredy Sayuni atazipiga na Mkongo Mbayo Ilunga.
Akizungumzia mchezo huo, Mashali amesema amejiandaa vizuri japo
hawagombei mkanda wowote lakini atahakikisha anamchapa Mkenya huyo.
“Hata kama hatugombei mkanda lakini sitakubali kupigwa na mgeni,
nitapambana kuhakikisha naweka heshima ya Watanzania, ”
alisisitiza.Wandela naye alijigamba kutowaangusha Wakenya wanaomwamini
na kumtuma Tanzania kuja kuonyesha
No comments:
Post a Comment