Friday, 31 October 2014

KISA DENI LA FEDHA, MAREHEMU AGOMBEWA KUZIKWA DAR AU IRINGA

Mtoto mwingine wa marehemu, Hassan Hatibu,  akizungumza jambo na mtandao huu...

Ndugu na jamaa wakiwa katika mzozo huo.
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la  Mohamed  Said ameingia katika mzozo mkali na ndugu zake wa upande wa mama yake kwa kugombea maiti ya mama yake mzazi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari,  mzozo huo umeibuka baada ya kijana huyo kuwagomea ndugu zake kuuzika mwili wa marehemu mkoani Iringa mpaka hapo watakapomlipa shilingi laki tatu kama gharama za matibabu ya marehemu.

No comments:

Post a Comment