Waziri wa
Nchi (Kazi Maalum) Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya Mwandosya na
Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Aziz (wa pili kushoto)
wakitembelea.........
mradi wa ujenzi wa Bwawa Kuu la Ethiopia (Great Ethiopian
Renaissance Dam-GERD)..jpg?width=650)
Waziri
wa Maji Umwagiliaji na Umeme wa Ethiopia Mheshimiwa Alemayehu
Tegenu,kushoto,na Waziri wa Nchi (Kazi Maalum)Ofisi ya Rais,Mark
Mwandosya ,kulia,wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mradi Mhandisi
Bekele.
.jpg?width=650)
Waziri
Tegenu wa Ethiopia akiwa katikati mwenye kofia ya kijani,kulia kwake ni
Mheshimiwa Naimi Aziz,Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, wa kwanza
kushoto kwake ni Mama Lucy Mwandosya,mke wa Waziri Mwandosya, wa pili
kushoto kwake ni Waziri Mwandosya,wa tatu kushoto kwake ni Mhandisi
Bekele,Meneja wa Mradi,wakiwa na wahandisi wa mradi, na ujumbe
Eneo la Mradi wa ujenzi wa Bwawa Kuu la Ethiopia (Great Ethiopian Renaissance Dam-GERD)
Akiwa ziarani Ethiopia Waziri wa Nchi
(Kazi Maalum) Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya ametembelea mradi wa
ujenzi wa Bwawa Kuu la Ethiopia (Great Ethiopian Renaissance
Dam-GERD).Ujenzi utakapokamilika mwaka 2017 GERD litazalisha MW 6000 za
umeme na kuwa mradi mkubwa wa aina yake Afrika na wa nane kwa ukubwa
duniani. Mradi unahusu ujenzi wa bwawa kwenye Mto Blue Nile, kilomita
850 kutoka Addis Ababa.
No comments:
Post a Comment