Wednesday, 29 October 2014

RAIS MICHAL SATA WA ZAMBIA AFARIKI


Rais wa Zambia, Michael Sata enzi za uhai wake.
RAIS wa Zambia, Michael Sata amefariki dunia jana usiku akiwa jijini London nchini Uingereza alipokuwa.........
akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Sata aliyeingia madarakani tangu Septemba 23, 2011 amefariki akiwa na umri wa miaka 77 katika Hospitali ya King Edward VII, London.
Sata amefariki kwa ugonjwa ambao bado haujawekwa wazi.

No comments:

Post a Comment