
MWANADADA mwenye mvuto wa kipekee ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kwamba......
Mwanadada mwenye mvuto wa kipekee ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Akichonga na gazeti hili hivi karibuni Odama alisema: “Ukweli kwa
sasa niko kwenye uhusiano siriasi na tuko kwenye mipango ya ndoa
japokuwa siwezi kutaja mwezi au tarehe ila mashabiki watambue kwamba
nitaolewa soon.”
Alipotakiwa kutaja angalau jina la mwanaume wake huyo, msanii huyo
aliweka ngumu na kudai haina umuhimu kwa sasa hali inayoashiria huenda
ni mume wa mtu na kwamba akimuanika atakinukisha.
No comments:
Post a Comment