Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha amesema ana wasiwasi na afya ya mwanaume Mkongo anayefahamika kwa jina la Mwani aliyewahi kuwa mpenzi wa Jacqueline Wolper......
Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha alisema, hofu yake
hiyo inatokana na namna mwanaume huyo anavyotapanya pesa huku akitangaza
dau kubwa ili kuwapata mastaa wa kike.…

Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha amesema ana wasiwasi na afya ya mwanaume Mkongo anayefahamika kwa jina la Mwani aliyewahi kuwa mpenzi wa Jacqueline Wolper.
Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha alisema, hofu yake
hiyo inatokana na namna mwanaume huyo anavyotapanya pesa huku akitangaza
dau kubwa ili kuwapata mastaa wa kike.
Mkongo anayefahamika kwa jina la Mwani aliyewahi kuwa mpenzi wa Jacqueline Wolper.
“Kimsingi mimi nina wasiwasi na afya yake, asije akawa anataka
kutumaliza. Mimi simhitaji hata kama ana mamilioni yake. Hofu yangu ni
hii tabia yake ya kutaka kutupitia sisi mastaa, wanaokubali kuwa naye
eti kisa ana mkwanja nawaonea huruma,” alisema Baby Madaha
No comments:
Post a Comment