Mzee Manento enzi za uhai wake.
MSANII wa filamu za Kibongo............
Mzee Manento amefariki dunia jana jioni akiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mzee Manento amefariki dunia jana jioni akiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo.
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. AMEEN.
No comments:
Post a Comment