Mhe.
Dkt. Asha Rose Migiro, waziri wa Katiba na Sheria akifungua rasmi
Mkutano Mkuu wa Majaji katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza,Maudhui ya
Mkutano huo ni kujitathmini Kama njia bora ya kuboresha Mahakama. Mhe.
WAZIRI amefungua Mkutano huo kwa niaba ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete...
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akitoa Mada katika Mkutano wa Majaji unaofanyika mkoani Mwanza.

Mhe.
Jaji Sauda Mjasiri, Jaji wa Mahakama ya Rufani, (aliyeketi mbele, wa
kwanza kushoto), Mhe. Othman Makungu, Jaji Mkuu wa Zanzibar (wa kwanza
kulia) pamoja na Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya
Tanzania (katikati) wakiwa pamoja na Wahe. Majaji wengine wa Mahakama ya
Tanzania wanaohudhuria katika Mkutano huo.

Mhe.
Dkt. Asha Rose Migiro, Waziri wa Katiba na Sheria (wa nne kushoto),
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa tatu kushoto),
Mhe. January Msoffe, Jaji wa Mahakama ya Rufani (wa pili kushoto), Mhe.
Othman Makungu, Jaji Mkuu wa Zanzibar, (wa pili kulia), Mhe. Shaaban
Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa kwanza kushoto)
pamoja na Mhe. Jaji Mwangesi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda
ya Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na Wahe. Majaji wa Mahakama ya
Rufani wakiwa ni baadhi ya Majaji wote waliohudhuria katika Mkutano huo
Mkuu wa mwaka unaofanyika jijini Mwanza.(Picha na Mary Gwera, Mahakama
ya Tanzania).
No comments:
Post a Comment