IMEGUNDULIKA
kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe
Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo
kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani
kwa wawili hao Mwananyamala-Manjunju jijini Dar....
, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au
, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au
la, msikie Nuhu:
Staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akiwa na mpenziwe Nuh Mziwanda.
“Mimi ninampenda Shilole kwa asilimia 100, ila siko tayari kubadili
dini kwa ajili yake maana kwetu ni wakristo na hapa naongea mama yangu
ni mzee wa kanisa hivyo Shilole naamini anaweza kubadili maana mimi
tayari nimeshafanya mengi sana juu yake.”

Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda wakipozi.
Msikie Shilole: Mimi siwezi kubadili dini maana Nuh ndiye alisema
atabadili hata hivyo familia yangu haiwezi kunikubalia kubadili dini kwa
ajili ya kufunga ndoa kama amesema naye hawezi kubadili basi tutaishi
tu maana hata ndoa ya serikali yenyewe hawezi na maisha siyo lazima
tuoane.”
No comments:
Post a Comment