Monday, 3 November 2014

HOSPITALI YA KAIRUKI YAPATA TUZO YA UBORESHAJI HUDUMA YA AFYA

Mkurugenzi Mkuu wa Hospital ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu akiwa amebeba tuzo aliyokabidhiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed...
Gharib Bilal (katikati). Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid.
Moja ya mashine za kisasa za kupima saratani ya matiti katika Hospitali ya Kairuki.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment