Friday, 7 November 2014

HAMISA ADAI BADO ANAKULA UJANA HATAKI NDOA.

Huku wengine wakihangaika kutafuta ndoa, Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye kwenye filamu,Hamisa Hasan 'Mabeto' amedai kwa sasa hafikirii kabisa suala la kuolewa kani anakula ujana....

Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’.
Akipiga stori na Mwandishi wetu, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana.
“Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa, mimi bado binti mdogo sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo ni mipango ya Mungu kila kitu kinaenda kwa wakati, muda utakapowadia nitaolewa,” alisema Hamisa.

No comments:

Post a Comment