
Msanii wa filamu Bongo Yobnesh Yusufu 'Batuli'...
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, diva wa filamu
Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kimya chake hicho kina
mshindo kwani kuna kitu kilimuweka bize hivyo watu wakae mkao wa kula
atawasapraizi.
Batuli akiwa katika pozi mbalimbali.
Batuli alisema hayo baada ya mashabiki kuuliza amepotelea wapi ambapo
alisema kuwa aliamua kukaa kimya kidogo ili mashabiki wapate hamu ya
kumuona kwani kitu alichowaandalia kiko njiani.“Ukimya wangu una sababu
kubwa, nimeamua kufanya yangu ili mwisho wa siku nikiibuka nitoke na la
kunitangaza,” alisema Batuli.
No comments:
Post a Comment