Friday, 14 November 2014

PINDA AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO NCHINI

unnamed1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi Mkazi wa UNIDO  nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014...
unnamed
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014.

No comments:

Post a Comment