Papaa Msofe akiingia chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. (Picha na Maktaba yetu)
MFANYABIASHARA
anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papaa
Msofe leo ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi yake baada ya kuugua...
Papaa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli, wataendelea
kusota rumande baada ya kesi hiyo kuahirishwa mpaka Novemba 18, mwaka
huu itakaposikilizwa kuvuta subira ili upelelezi ukamilike.
No comments:
Post a Comment