
Mtangazaji wa zamani wa Redio
Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani,
George Njogopa akiwa na Rais Jakaya Kikwete.
MTANGAZAJI wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni
ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa ameporwa
gari usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita maeneo ya Maryland Bar, Mwenge
jijini Dar...

Kwa mujibu wa chanzo makini, mtangazaji huyo alikuwa na mwanamke ambaye
anadaiwa kuhusishwa kuongoza tukio zima la wizi huo wa gari aina ya
Spacio New Model lakini mwenyewe amekanusha.” Sikuwa na mwanamke,
walionipora walinivamia na kunitupa maeneo ya Maryland, tayari
nimeshafungua jalada katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa uchunguzi
zaidi,” alisema Njogopa.
No comments:
Post a Comment