
MASTAA wa kike wa fani mbalimbali nchini, wamezungumzia matumizi ya nyeti bandia, baadhi wakizipongeza kuwa zinawasaidia kuondokana na ‘stress’ za wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’....
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Lulu.
Baadhi ya wasanii hao walisema kuwa ingawa wanazifahamu na hata
kuwajua wanaotumia wao wanaamini wanaotumia ni wale ambao hupenda
kufanya tendo kila siku wakiwa na wenza wao, hivyo wanaposafiri au
kusigana kidogo, ndipo wanapolazimika kuzitumia.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Isabela Mpanda.
Mastaa waliozungumza ambao walipata nafasi ya kuzungumzia ishu hiyo lakini
wakikana kuwahi kutumia ni pamoja na Lulu Semagongo, Isabela Mpanda,
Baby Madaha, Tamrina Poshi ‘Amanda’ na Vai wa Ukweli ambaye alisema yeye
anapojisikia karaha ya mapenzi, hupenda kunywa pombe, hata kama ni
asubuhi.
No comments:
Post a Comment