Mwakilishi wa Rwanda aliyetolewa BBA Hotshots, Arthur....
Washiriki wa BBA Hotshots waliotolewa, Kacey Moore (aliyevaa miwani)wa Ghana na Luis wa Namibia (Kulia).
Washiriki waliobaki ndani ya jumba la Big Brother Africa imezidi
kushuka tena usiku wa kuamkia leo, washiriki wengine watatu wametolewa
ndani ya jumba hilo.
Washiriki waliotoka ni Kacey Moore
ambaye alikuwa anawakilisha Ghana, Luis mwakilishi wa Namibia, na Arthur
mwakilishi wa Rwanda kumefanya idadi ya washiriki waliotoka mpaka sasa
kufikia washiriki kumi, wanne kati yao ni wa kiume na wa kike sita.
No comments:
Post a Comment