Gari
aina ya Toyota Nadia likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana na
basi lililokuwa limebeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola leo asubuhi
mkoani Mbeya...
Basi la kubeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola baada ya kugongana na Nadia.
Nadia ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali hiyo.
Basi la Coca Cola likiwa eneo la ajali.
AJALI hii imetokea asubuhi hii katika eneo la maghorofani mkoani
Mbeya baada ya basi lililokuwa limebeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca
Cola kugongana na gari aina ya Toyota Nadia. Katika ajali hiyo, Nadia
imeharibika vibaya kwa mbele.
No comments:
Post a Comment